iqna

IQNA

Sayyid Aqil al-Munawwar
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Wasomaji na Waliohifadhi Qur'ani nchini Indonesia amesema hivi sasa kuna vituo 23,000 vya kufunza Qur'ani katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3472003    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/16